Here is USA army force Vs RUSSIA army force

Tanzania kweli wana mkataba wa kupeleka maaskari Marekani, sidhani.
 
TUMEONA SILAHA NA UWEZO WA MAREKANI KUPITIA VITA MBALIMBALI SASA URUSI ANAGOMBANA NA KAKISIWA KALE KAKICREMIA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unahisi crimea sio sehemu yataifa fulani [emoji14][emoji12][emoji14]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unahisi crimea sio sehemu yataifa fulani [emoji14][emoji12][emoji14]
Kwa kuongezea tu ni kwamba yule Ukraine ambaye aliyechukuliwa sehemu yake na Warusi, sio wa kawaida kabisa pale ulaya.Africa anapiga wote pasipo ubishi
 
ulimwengu kuna EMW ni nguvu ya kumaliza nguvu ya umeme.hizo nchi zote inazo so unaweza ona sijui mavifaru yanatembea lakini wanao uwezo wa kuifanya umeme wa kifaru ufe ndani ya dk kazaa na vikawa mavyuma vyuma tu.
Vita vya siku hizi ni ngumu kutabirika.
 
Kwa hii katiba nakubaliana na maneno yako.
Leo 2020 katiba ya urusi imekubali kuwa atakuwa kiongozi hadi 2036.
leo mwinyi ameomba tumuongezee JPM kipindi kimoja cha ahsante tunasita sita lakini kama mtu mnamuamini mnampa tu.
Urusi kiboko..... Putin hatastafu urais forever mpaka afe. Imekaa series flani hivi.... Watakuwa wanabadirishana na Medvedev na wengine watatu wapo FSB
 
Nguvu hiyo inaweza pelekwa sehemu na mawasiliano yakakosekana kwa vile umeme wote umezimwa.na hapo ndipo tunapoona wakubwa wakitaka mfe mnakufa kwa kukosa nishati ya kuwezesha kufanya yenu.
 
amijiandaa kwa vita ya kuja kwako na si kulinda mipaka yake.
 
Vladimir Putin ni kiongozi aliyefanikiwa sana kiusalama. Muundo wake wa idara za kiujasusi kama FSB, GRU, SVR, Main Intelligence Directorate na nyinginezo umemfanya aweze kutengeneza jeshi imara na lenye vifaa vya kisasa na teknolojia ya hali ya juu pamoja ni nidhamu kwa amiri jeshi mkuu (ambaye ni rais).
Umakini wake na mbinu zake ndivyo vimefanya Urusi iendelee kuogopwa na majeshi ya magharibi kwani amewekeza vilivyo katika teknolojia, mafunzo na utafiti kitu kinachoipa Urusi na jeshi lake uwezo wa hali ya juu wa kiusalama na kijeshi.

Licha ya Marekani kuwa na jeshi imara (hasa la anga) bado anamhofia Urusi kijeshi kwa sababu kama ilivyo kwa Marekani, Urusi pia ana silaha za kijeshi ambazo hajazionesha kwa nchi yoyote na ni silaha nzito kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…