Nicodemas Tambo Mwikozi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 663
- 1,047
Tichaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaa in jakchain voice snake manke shadow hapo kapigwa anamlilia nwalimu amfundishe dranken style au wewe ni ticha ganiTangu zamani ilikuwa ni ndoto yangu kuwa mjeiwii ama efu efu yuuu....napendaga ubabe sana...Ni family background ndo zilifanya nisitimize ndoto yangu na kuishia kuwa mwalim...so sad in deed!!!!
Hayo ma vifaa ukilinganisha na yale aliyotishiwa Joyce Banda utasema yale yetu ni ma midoli tu!
Russia kWa intelligency hawamuwez millitary hawamuwezi
Mkuu seriousKama uko tayari nitafute nikuunganishie uende
Sio kwa sasaItaly,Russia, UK ndio mataifa makubwa bibilia iliyoyataja kwenye ile sanamu ya Daniel
Russia ni sayari nyingine aisee wao wanajipanga kummaliza kila mmoja kivyao yeye anawachukulia wote wa ulaya na America kama nchi moja
Asa mkuu "unapenda ubabe" watoto wetu huko shuleni wanapona kweli?Tangu zamani ilikuwa ni ndoto yangu kuwa mjeiwii ama efu efu yuuu....napendaga ubabe sana...Ni family background ndo zilifanya nisitimize ndoto yangu na kuishia kuwa mwalim...so sad in deed!!!!
Asije akawa kama wale walimu wa mbeya wanaotandka kama wanauaAsa mkuu "unapenda ubabe" watoto wetu huko shuleni wanapona kweli?
Jamaa unadharauu weweMarekani alitia pua VIETNAM akaambulia kichapo atia pua tena kwa wavaa ndala AFGHANISTAN WATALEBAN wakamtoa jasho mpaka basi akaenda korea na kwenyewe akakutana na kizingiti yaani kila anakotia pua lazima ashindwe anabaki kuuwa watu tu wasiokuwa na silaha yaani huyu marekani hata TZ tukiomba nae mechi ya kirafiki ateremshe majeshi yake ardhini tunampiga kama kuku wa mdondo
Mkuu hapa napata kigagaziko unapotumia haya maneno 'ARMY' na 'FORCE' kwa wakati mmoja yaani ARMY FORCE!Ninachojua mimi jeshi la marekani linaitwa kwa english US ARMY and not US ARMY FORCE same as Russia!Nakubali kukosolewa!Here is USA army force Vs RUSSIA army force
1.USA army force
View attachment 399355View attachment 399356View attachment 399357View attachment 399358View attachment 399359View attachment 399360
2.RUSSIAN army force
View attachment 399361View attachment 399362View attachment 399363View attachment 399364View attachment 399365View attachment 399366View attachment 399367
Putin akisema "su" Washington, New York na miji yote ya USA inapotea.....Ao wachumba tu kwa Putin..
Na wewe unachapa sana?Tangu zamani ilikuwa ni ndoto yangu kuwa mjeiwii ama efu efu yuuu....napendaga ubabe sana...Ni family background ndo zilifanya nisitimize ndoto yangu na kuishia kuwa mwalim...so sad in deed!!!!
Nadhani kwa east africa ipo kenyaTanzania iko wapi?