Here comes the weekend

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,774
Reaction score
1,087
Jamani a weekend full of fun.

The game: liverpool versus arsenal.

Wapi tukakae kwenye screen kubwa?

mimi naona iwe hivi.

Dar... Double view hotel Sinza

Mbeya.. Mbeya hotel

Iringa... Shine pub

Moro....

Dodoma....

Tanga....

Msisahau Kuvaa T-shirts za JF.

Let me just wish you a marvelous weekend and please take care, Dont drink too much.
 
Jamani a weekend full of fun.

Let me just wish you a marvelous weekend and please take care, Dont drink too much.[/QUOTE]

ulevi nomaa.

weekend njema na wewe Vivian

ambao sio wapenzi wa mechi inakuaje sasa??
 
Mamito rudisha ile avatar ya kwanza please,those million dollar eyes bana.
 


Sijui kama nakosea but katika mizunguko yangu...
Mbeya hotel isha pitwa na wakati... kuna hotels nzuri
saana mpya na za kisasa - bahati mbaya sielewi majina...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…