Here comes Daudi Albert Bashite

Walimu wote watasafiri bure

Magari yako bashite? Unajuwa running cost zake?

Wauguzi hawana msaada kwa taifa? Ila walimu tu?

Another frustrating failure for Bashite
 
Inaonekana umesoma paragraph ya mwisho, halafu ukakurupuka kuijibu, au uwezo wako katika lugha hii ni duni. Nakuomba soma Uzi wote kwa makini ikiwezekana rudia halafu Pima ulichoandika kujibu. Nampongeza mleta mada kwa hoja zake adhimu. Hata Mimi D.A.B namchukulia hivyo hivyo!
 

Nashanga kipofu anaona makosa ya lugha lakini makosa ya Bashite and Co mnajifanya eti hamuoni.Kumbe mmezoe kupiga chabo mnacopy hadi namba ya mtihani oneni sasa mnavyojificha jua kwenye vivuli vyenu wenyewe
ubongokid umeona madhara yako mkuu, DAB ni nouma
 
Walimu wote watasafiri bure

Magari yako bashite? Unajuwa running cost zake?

Wauguzi hawana msaada kwa taifa? Ila walimu tu?

Another frustrating failure for Bashite
Ila walimu wanasafiri bure hilo liko wazi tu na limezoeleka kwa wamiliki wa magari ambao walikubalina naye wewe hata boxer nini kinakuwasha.
 
Oooh my God, hujamuelewa mtoa mada!
 
Sarcasm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…