Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
mi mwenyewe hapa ndo nahisi itakuwa menu ya jioni bestngoja nijaribu nikipatia nitakupa jibu wangu.
mi mwenyewe hapa ndo nahisi itakuwa menu ya jioni best
he heee, huku mtakuja rafiki, lol!mm mwenyewe naanza kuandaa mahitaj LOL!
niko sehem nzuri sana nitakuja kukusimulia huku nilipo palivyokuwa pazuri nimepatamani nikae huku milele nimehisi Kaunga atakuwa anafurahia sana maisha ya sehem kama hizi. cacico na mwaJ wao huku hawajawah kupafika kabisa na naamin hata snowhite na Madame B pia.
jamani ni pazuri ukipaka poda hadi jion us unabaki kama asbh, hutoki jasho, upepo wake unanukia vizuri hakuna inzi wala mbu halafu eti ni tanzania hii hii. acha kabisa dear sitaman kurudi tena huko kwenu.
mi mwenyewe hapa ndo nahisi itakuwa menu ya jioni best
he heee, huku mtakuja rafiki, lol!
unajua mimi huwa nasemaga sehemu nyingine za TZ ni nzuri sana kuliko Dar watu wananiambia ni ushamba ndo unanifanya nione hivyo...
Enjoy my dear, wakati ni wako.... tunasubiri kuhadithiwa tuuuuuuu
mm mwenyewe naanza kuandaa mahitaj LOL!
niko sehem nzuri sana nitakuja kukusimulia huku nilipo palivyokuwa pazuri nimepatamani nikae huku milele nimehisi Kaunga atakuwa anafurahia sana maisha ya sehem kama hizi. cacico na mwaJ wao huku hawajawah kupafika kabisa na naamin hata snowhite na Madame B pia.
jamani ni pazuri ukipaka poda hadi jion us unabaki kama asbh, hutoki jasho, upepo wake unanukia vizuri hakuna inzi wala mbu halafu eti ni tanzania hii hii. acha kabisa dear sitaman kurudi tena huko kwenu.
rafiki uzuri wa Dar ni maghorofa tu............asikwambie mtu.
ila huku nilipo kiboko, ni pasafi hadi unashindwa kuelewa hivi wananchi wa huku wao mifuko ya nailoni hawaion ama?? ama vocha za simu wao hawatumiii?? hukutan na karatasi wala hata ya vocha njian, kila kona maji yanatiririka masafi kama vile watu hawajui kuharibu vyanzo vya maji.............ni kusafi hewa safi, hakuna mwenye ujuaji kama Dar.
ngoja kwanza nisikusimulie yote hapa nikachakachua uzi wako.
BTW nitapika huu msosi nile kwenye hali hii nzuri nita enjoy sana
Uko kibande gani rafiki? Baada ya FP kunitamanisha na hilo chuzi la kuku na wewe wanitamanisha na campsite fulani hivi (ndicho ninacho imagine kwa muda huu).
Jamani ni Rwanda nini????
usishangae tu nikakupigia naja kulala kwako siku moja lol!
siku hizi nyuzi zote zinachakachuliwa, hata siasani nimeliona hilo...rafiki uzuri wa Dar ni maghorofa tu............asikwambie mtu.
ila huku nilipo kiboko, ni pasafi hadi unashindwa kuelewa hivi wananchi wa huku wao mifuko ya nailoni hawaion ama?? ama vocha za simu wao hawatumiii?? hukutan na karatasi wala hata ya vocha njian, kila kona maji yanatiririka masafi kama vile watu hawajui kuharibu vyanzo vya maji.............ni kusafi hewa safi, hakuna mwenye ujuaji kama Dar.
ngoja kwanza nisikusimulie yote hapa nikachakachua uzi wako.
BTW nitapika huu msosi nile kwenye hali hii nzuri nita enjoy sana
Jamani ni Rwanda nini????
Atakuwa mufindi. Wala asikurushe roho. Afu mbona haujajibu pm yangu? Ntakukata maskio!
hili chuzi ni la kulila mara moja kwa mwaka mtani, lol!Stew kama hii pia badala ya kuweka hizo herbs ulizozibainisha, unaweza kutumia ready made Indian Chicken Curry au Thai Chicken Curry recipes, ambayo huwa ni mchanganyiko wa viungo vilivyo kwenye hali ya unga unga au rojorojo
Mtani unaogopeshwa na kiwango cha mafuta? Kama ni hayo unaweza kuweka kiasi ukitakacho ambacho kitaweza kuivisha vitunguu na kidogo kukaanga vipande vya kuku vigeuke kidogo rangi na kuwa brown...hili chuzi ni la kulila mara moja kwa mwaka mtani, lol!
sawa mtani.....Mtani unaogopeshwa na kiwango cha mafuta? Kama ni hayo unaweza kuweka kiasi ukitakacho ambacho kitaweza kuivisha vitunguu na kidogo kukaanga vipande vya kuku vigeuke kidogo rangi na kuwa brown...