Herby Chicken Stew with Tomatoes & Mushrooms Recipe

Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,304
12,744
f1f8f8d3777b2dc3e1b607c47ece7977.jpeg

Ingredients

  • ½ teaspoon Roberstons Mixed Herbs
  • 1 sachet KNORR Chicken Casserole Dry Cook-in-Sauce
  • 400 millilitre Water
  • 15 millilitre Tomato paste
  • 2 Tomatoes, chopped
  • 250 gram Button Mushrooms, sliced
  • 1 Garlic clove, crushed
  • 1 Onion, chopped
  • 500 gram Chicken Pieces, skin removed
  • 15 millilitre oil

Instructions

  1. Heat oil in a frying pan and brown the chicken pieces.
  2. Add onion, garlic and mushrooms and continue to fry for 3 minutes.
  3. Add tomatoes, tomato paste, water and KNORR Chicken Casserole Dry Cook-in-Sauce.
  4. Add mixed herbs and season to taste.
  5. Simmer for 30 minutes until the chicken is tender.
  6. Serve with ugali, chapati or rice.
 
mi mwenyewe hapa ndo nahisi itakuwa menu ya jioni best

mm mwenyewe naanza kuandaa mahitaj LOL!
niko sehem nzuri sana nitakuja kukusimulia huku nilipo palivyokuwa pazuri nimepatamani nikae huku milele nimehisi Kaunga atakuwa anafurahia sana maisha ya sehem kama hizi. cacico na mwaJ wao huku hawajawah kupafika kabisa na naamin hata snowhite na Madame B pia.

jamani ni pazuri ukipaka poda hadi jion us unabaki kama asbh, hutoki jasho, upepo wake unanukia vizuri hakuna inzi wala mbu halafu eti ni tanzania hii hii. acha kabisa dear sitaman kurudi tena huko kwenu.
 
Last edited by a moderator:

he heee, huku mtakuja rafiki, lol!
unajua mimi huwa nasemaga sehemu nyingine za TZ ni nzuri sana kuliko Dar watu wananiambia ni ushamba ndo unanifanya nione hivyo...
Enjoy my dear, wakati ni wako.... tunasubiri kuhadithiwa tuuuuuuu
 
rafiki uzuri wa Dar ni maghorofa tu............asikwambie mtu.
ila huku nilipo kiboko, ni pasafi hadi unashindwa kuelewa hivi wananchi wa huku wao mifuko ya nailoni hawaion ama?? ama vocha za simu wao hawatumiii?? hukutan na karatasi wala hata ya vocha njian, kila kona maji yanatiririka masafi kama vile watu hawajui kuharibu vyanzo vya maji.............ni kusafi hewa safi, hakuna mwenye ujuaji kama Dar.
ngoja kwanza nisikusimulie yote hapa nikachakachua uzi wako.
BTW nitapika huu msosi nile kwenye hali hii nzuri nita enjoy sana
 
mm mwenyewe naanza kuandaa mahitaj LOL!
niko sehem nzuri sana nitakuja kukusimulia huku nilipo palivyokuwa pazuri nimepatamani nikae huku milele nimehisi Kaunga atakuwa anafurahia sana maisha ya sehem kama hizi. cacico na mwaJ wao huku hawajawah kupafika kabisa na naamin hata snowhite na Madame B pia.

jamani ni pazuri ukipaka poda hadi jion us unabaki kama asbh, hutoki jasho, upepo wake unanukia vizuri hakuna inzi wala mbu halafu eti ni tanzania hii hii. acha kabisa dear sitaman kurudi tena huko kwenu.

Uko kibande gani rafiki? Baada ya FP kunitamanisha na hilo chuzi la kuku na wewe wanitamanisha na campsite fulani hivi (ndicho ninacho imagine kwa muda huu).
 
Last edited by a moderator:
rafiki uzuri wa Dar ni maghorofa tu............asikwambie mtu.
ila huku nilipo kiboko, ni pasafi hadi unashindwa kuelewa hivi wananchi wa huku wao mifuko ya nailoni hawaion ama?? ama vocha za simu wao hawatumiii?? hukutan na karatasi wala hata ya vocha njian, kila kona maji yanatiririka masafi kama vile watu hawajui kuharibu vyanzo vya maji.............ni kusafi hewa safi, hakuna mwenye ujuaji kama Dar.
ngoja kwanza nisikusimulie yote hapa nikachakachua uzi wako.
BTW nitapika huu msosi nile kwenye hali hii nzuri nita enjoy sana

Jamani ni Rwanda nini????
 
Uko kibande gani rafiki? Baada ya FP kunitamanisha na hilo chuzi la kuku na wewe wanitamanisha na campsite fulani hivi (ndicho ninacho imagine kwa muda huu).

acha tu rafiki huku niko camp kuna ktu niefuata ila jinsi palivyo pazuri huwez kuamini kabisa na ni hii tanzania tena kweye hii mikoa yetu yenye kuonekana maskini zaid.
 
rafiki uzuri wa Dar ni maghorofa tu............asikwambie mtu.
ila huku nilipo kiboko, ni pasafi hadi unashindwa kuelewa hivi wananchi wa huku wao mifuko ya nailoni hawaion ama?? ama vocha za simu wao hawatumiii?? hukutan na karatasi wala hata ya vocha njian, kila kona maji yanatiririka masafi kama vile watu hawajui kuharibu vyanzo vya maji.............ni kusafi hewa safi, hakuna mwenye ujuaji kama Dar.
ngoja kwanza nisikusimulie yote hapa nikachakachua uzi wako.
BTW nitapika huu msosi nile kwenye hali hii nzuri nita enjoy sana
siku hizi nyuzi zote zinachakachuliwa, hata siasani nimeliona hilo...
haya mwaya enjoy, natamani sana ningekuwa maeneo ya hivyo dear
 
Stew kama hii pia badala ya kuweka hizo herbs ulizozibainisha, unaweza kutumia ready made Indian Chicken Curry au Thai Chicken Curry recipes, ambayo huwa ni mchanganyiko wa viungo vilivyo kwenye hali ya unga unga au rojorojo
spicy_chicken_masala_recipe.JPG
 
Atakuwa mufindi. Wala asikurushe roho. Afu mbona haujajibu pm yangu? Ntakukata maskio!

My wifi sijaona PM yoyote mbona? Ngoja nicheck tena.
Au usiniambie wewe ni ........ ambaye huwa anasign in kunitumia PM tu halafu anarudi kwa ID yake ya kupostia jukwaani????
 
Stew kama hii pia badala ya kuweka hizo herbs ulizozibainisha, unaweza kutumia ready made Indian Chicken Curry au Thai Chicken Curry recipes, ambayo huwa ni mchanganyiko wa viungo vilivyo kwenye hali ya unga unga au rojorojo
spicy_chicken_masala_recipe.JPG
hili chuzi ni la kulila mara moja kwa mwaka mtani, lol!
 
Mtani unaogopeshwa na kiwango cha mafuta? Kama ni hayo unaweza kuweka kiasi ukitakacho ambacho kitaweza kuivisha vitunguu na kidogo kukaanga vipande vya kuku vigeuke kidogo rangi na kuwa brown...
 
sawa mtani.....
yaani mimi na mafuta hatuna urafiki kabisaaaaa, hapo natumia olive oil lakini still sipendi kabisa kuyaona kwenye msosi
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom