Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,416
- 7,655
Simpendi Kigwangalla LAKINI ana hoja nzitoMama Janeth, mama Janeth...! Mbona hakukuwa na ulazima wa kumhusisha huyo mjane na huo upuuzi wa Kigwangala?
Simpendi Kigwangalla LAKINI ana hoja nzitoMama Janeth, mama Janeth...! Mbona hakukuwa na ulazima wa kumhusisha huyo mjane na huo upuuzi wa Kigwangala?
Kigwa misheni town tu.Sisi wapiga kura wake tunasubiri tu 2025 tumunyooshe,hawezi kutaka chanjo ili tugande damu kwa maslai binafsi.Tunajua JK alimbeba Bashe aliongoza kwa 12000, Seleli 3000 , Kibwangala 1500 na ndiye aliyebebwa na Jk,tunakusubiri maana naona baada ya muda utashauri tupimwe corrona kwa kipimo kipya.
'Ata mama Gwajima akijimilikisha akapeleka kwake hatumdai!Kigwangala yuko sahihi. Hiko kibanda cha nyungu vunjeni hapo Muhimbili. Mbona ziko sehemu nyingi tu mnazoweza kuweka nyungu. Badala ya kulazimisha kibakib Muhimbili Ikiwezekana pelekeni Chato.
CCM hawatakiSIJAWAHI KUONA WATU WAKIFIKIRIA KUUNDA FALSAFA NA MIFUMO YA UTAWALA UNAOENDANA NA MAISHA YA MTANZANIA.
Sio wao tu..matatizo haya yameanza katika familia kisha jamii zetu ambazo ndio hawa wateule na wagombea mbalimbali wanatokea.CCM hawataki
Acha kutetea upuuzi wa huyu Mnyamwezi bwege, nafiki na kigeugeu!!Mtu ameshakufa, ameoza ila bado mnamuogopa ama kweli DIKTETA UCHWARA alikuwa kiboko.
Kosa la Kigwangala ni kuongea ukweli? Hivi kujifukiza kunatibu Corona?
Kigwangala yupo sahihi 100%
Msimu wa embe umeisha nyani wote mataga watakondaMtu ameshakufa, ameoza ila bado mnamuogopa ama kweli DIKTETA UCHWARA alikuwa kiboko.
Kosa la Kigwangala ni kuongea ukweli? Hivi kujifukiza kunatibu Corona?
Kigwangala yupo sahihi 100%
Kama ni mwamba mbona Corona imemfyekelea mbali.Acha kutetea upuuzi wa huyu Mnyamwezi bwege, nafiki na kigeugeu!!
Huo ukweli sahihi 100% wa Kigwangala uko wapi hapo? Mbona hakusema huu ukweli kabla Jiwe, Mwamba au uncle Magu haja rest in peace??
Kweli Kigwangala amedhihirisha kiwango cha UNAFIKI WA WATANZANIA.....!!!
Shame on him...!!!
Ok ok ok me 😁😁🏧🚻📡
Simpendi Kigwangalla LAKINI ana hoja nzito