ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,327
Kileo ni muuaji..alaaniweTulia dawa ikuingie vizuri, Soma kwa umakini maneno ya kamanda mpambanaji.
Kileo ni muuaji..alaaniweTulia dawa ikuingie vizuri, Soma kwa umakini maneno ya kamanda mpambanaji.
Kamanda wa kihindi anakaa mahabusu wiki anamlilia mke wake.
Kiboko cha Wasira
Kileo ni muuaji..alaaniwe
acha upuuzi
Ni haki yake kukumbuka yaliyomsibu na kutoa maono yake huko tuendako. Viva Kamanda pambana mpaka kieleweke. Hiyo ndiyo njia mojawapo katika kupta mafanikio.
Tulia dawa ikuingie vizuri, Soma kwa umakini maneno ya kamanda mpambanaji.
Hivi tindikali huwa mnatengeneza wenyewe au kuna mtu anawaletea?Mpeleke Nepi akakae pale siku moja kama hajatoka na ugonjwa wa kwashakoo.Mlidhani kileo angewapigia magoti? M/Kiti wa Lumumba buku7 zinakuponza.
Huwa yana id nyingi, kuna id ya uzalendo na id ya buku7 sasa wakati mwingine yanajichanganyana badili ya kuingia na id ya uzalendo linaingia na ya buku7 and viceversa!
Mkuu kawashitaki polisi, au nenda mahakamani udai fidia , yakishindikana yote mwone Helen Bi Simba.
Hivi tindikali huwa mnatengeneza wenyewe au kuna mtu anawaletea?
amekuoa nn mbona wamsifia sana
Sasa Henry Kilewo aliipata wap?Inatengenezwa Lumumba na kusambazwa na vijana wa lumumba.
Hivi tindikali huwa mnatengeneza wenyewe au kuna mtu anawaletea?
Sasa Henry Kilewo aliipata wap?
Sasa Henry Kilewo aliipata wap?
Hapa ungem cc Mwigulu angekuja kukujibu kwa ufasaha kabisa! Anajua inapopatikana , anajua na matumizi yake!
Maskini Mussa Tesha, hivi mlishampelekaga india huyu kijana wa watu sura iliyoharibika akageuka kuwa babu kizee? Hii dhambi itamtafuna Mwigulu na kizazi chake chote! Mwigulu amebeba laana za watu wengi sana