Henry Kilewo - Kumbukumbu inayoumiza lakini inayochochea mabadiliko

Kamanda wa kihindi anakaa mahabusu wiki anamlilia mke wake.

Mpeleke Nepi akakae pale siku moja kama hajatoka na ugonjwa wa kwashakoo.Mlidhani kileo angewapigia magoti? M/Kiti wa Lumumba buku7 zinakuponza.
 
Ni haki yake kukumbuka yaliyomsibu na kutoa maono yake huko tuendako. Viva Kamanda pambana mpaka kieleweke. Hiyo ndiyo njia mojawapo katika kupta mafanikio.

tumewaona mapapa tumewakalisha atakuwa huyu aliyeolewa na joy
 
Mpeleke Nepi akakae pale siku moja kama hajatoka na ugonjwa wa kwashakoo.Mlidhani kileo angewapigia magoti? M/Kiti wa Lumumba buku7 zinakuponza.
Hivi tindikali huwa mnatengeneza wenyewe au kuna mtu anawaletea?
 
Kwa mahakama zipi Mkuu masopakyindi!? Hizi #mahakaMACCM!? Hivi ile kesi ya Dr Ulimboka iliishia wapi vile!? Na ile ya mauaji ya Mwangosi je!?

Mkuu kawashitaki polisi, au nenda mahakamani udai fidia , yakishindikana yote mwone Helen Bi Simba.
 
Last edited by a moderator:
Sasa Henry Kilewo aliipata wap?

Maskini Mussa Tesha, hivi mlishampelekaga india huyu kijana wa watu sura iliyoharibika akageuka kuwa babu kizee? Hii dhambi itamtafuna Mwigulu na kizazi chake chote! Mwigulu amebeba laana za watu wengi sana
 
Ndiyo msukule wake wa kuombea kura.
 
Back
Top Bottom