Kwa mimi naona wanafanya sawa. Wacha wajenge timu nyingine. Ni kweli itawachukua muda kukaa sawa ila.ni vyema waanze upya. Kujisahihisha na kuanza upya kwenye maisha sio kitu kibaya.
Ni kweli we Mtoto wa Shule kujenga timu ni jambo jema japo kuna mawili yanaweza tokea, mkajipata kwa mida mfupi au ikawachukua muda kujipata. Refer to Man United, Chelsea na zamaleki