Hemedi na Mlela ni wacameruni?

Duh.Itafahaika tu kama ni photoshop ama ukweli
 
Nyambafu zao 😛hoto:
 
Hemedi na Mlela ni wacameruni?
View attachment 42989


HIYO NI PHOTOSHOP, Angalia huyo jamaa mwenye koti jeusi nywere zake hapo wame mtransfer nakutumia blur tools nywele zaonyesha,

pili kama hiyo picha ingekuwa kweli basi hiyo jamaa mwenye sutu alipaswa ashuke kidogo lkn hapo ukiangalia disigner alimpandisha juu kidogo akapoteza angle ya uhalisia.......ila kajitahidi.
 
Not true ni pichaduka(photoshop) imeusika hapo

iwe photoshop iwe ni kweli..! mimi hawa jamaa naona wanainvest sana kwenye mambo ya starehe badala ya kuinvest kwenye production ili mambo yao yaingie kwenye competition za ukweli huko mbele..! wenyewe wamen'gan'gania maformat yao ya zamani kwakweli movie za bongo zinaniboa sana..!
 
PhotoShop hiyo.....


"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

 
siwapendi hawa watul
akini tusiwachafue kwa hili..
tuachane na chuki za kijinga
mimi ingawa siwapendi lakini sipendi kuona mtu akisingiziwa na kuchafuliwa jina lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…