Chukulia mfano huna boyfriend, ungekuwa na shida ungemuomba nani pesa?au ungefanyaje?
Hata kama utamuomba pesa, uombe ukiwa na shida kweli..na isiwe mazoea!
Kuhusu mawasiliano na kutokujali kama wewe, nadhani ungeangalia movie inaitwa ''Two Can Play That Game'.. utajifunza mengi..!
Siyo lazima umpigie, unaweza kupunguza mawasiliano hata text moja kwa siku..thamini uthaminiwe best!!