Nenda hospital haraka sana kesho ukiamkaWana Jf msaada ama ushauri juu ya tatizo la bint yangu ni kachanga kana umri wa mwezi mmoja na week sasa lakini tumbo la mnyima raha kabisa analia mno alafu choo kikubwa yapata cku 3 hajapata wakati si kawaida msaada please.
Anakunywa maziwa ya mama pekee au unampa na aina nyingine?!Wana Jf msaada ama ushauri juu ya tatizo la bint yangu ni kachanga kana umri wa mwezi mmoja na week sasa lakini tumbo la mnyima raha kabisa analia mno alafu choo kikubwa yapata cku 3 hajapata wakati si kawaida msaada please.