Ndekirhepva JF-Expert Member Joined May 18, 2012 Posts 371 Reaction score 44 Jun 19, 2013 #1 Waungwana nimefanikiwa kudownload hii window ila imekuja na key ambayo haifanyi kazi, sasa mwenye namna ya kunikwamua hapo naombeni, au ile window 8 loader kwa specification za namna hyo, msaada please
Waungwana nimefanikiwa kudownload hii window ila imekuja na key ambayo haifanyi kazi, sasa mwenye namna ya kunikwamua hapo naombeni, au ile window 8 loader kwa specification za namna hyo, msaada please