Help: wajanja 9t

Hii kitu imenikuta pabaya sana, nilikua nashusha game la 13GB yaani niko 86% nilikua nasubiri usiku wa jana nimalizie, yaani Vodacom bhana kweli kazi ni kwetu

kudadadeki, kazi ni kwako kaka.
 
teh teh, lah! sidhani kama wako mbioni kufanya hivyo, kwa siku hizi mbili tatu network yao imekuwa sumbufu tu. maana hata Mpesa haikuwa okay. naona sasa iko sawia.
bado mpesa inasumbua. nimeweka hela kwenye line jana mpaka saa hizi sijaziona
 
bado mpesa inasumbua. nimeweka hela kwenye line jana mpaka saa hizi sijaziona

ni kama hamna namna zaidiya kuwa wapole, kwa kweli inanisave. (sio MPesa, hapana - bali wajanja) ili kuepuka kuukesha, naonaga nafuu tu niweke ya mwezi. bila mawazo wala timing natumia.
 
hii wajanja 9t kwangu imekuja kivingine! Situmii torrent! Natumia download ya kawaida! Download Huwa inakata kila baada ya mda flani! Sijui hii kitu ni mimi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…