Kwa mwenye uzoefu mzuri na Toyota Vitz model mpya ya kati ya mwaka 2005 - 2008.
Nimeangalia kwenye mtandao wa Beforward kuna Model Code kama za aina tatu tofauti.
Model Code hizo ni:
1. CBA-NCP95 (Engine cc 1,290)
2. DBA-SCP90 (Engine cc 1,290)
3. DBA-KSP90 (Engine cc 990)
Kati ya hizi model tatu ni engine ipi iliyo nzuri na haisumbui mara kwa mara?
Shukrani wakuu.