Hili ni tatizo tunalopata watumiaji wa hizi copy za uswahilini, hata Wind 7 huwa inatokea hivyo hivyo.
Unaeweza ujafanya installation, ukaactivate vizuri na ikasoma kwamba sasa windows yako ni genuine.
Shida inakuja pale tu unapokubali kuifanyia updates, hapo ndipo wanaoishtukia. So wasiwasi wangu
ni kwamba pengine unaweza kufanikiwa kwa njia hizo hapo juu, ila ukianza update tatizo likarudi kama mwanzo.
Na hili lipo hadi kwenye baadhi ya copy za Microsoft Office.
Ushauri wangu ni kwamba ujaribu kupima faida za updates na hasara kisha uone, kama vipi izuie automatic update.