Ndugu kama uliinstall windows basi itakuwa ilifutika. Maana mimi niligawa partition nne, partition yangu ya F: ilifutika baada ya kuinstal Windows 8. Kwa hiyo mkuu hutaweza kuirudisha hiyo partition labda ujaribu program za partition recovery.
na kwenye disk mngt ipo kama unallocated FREE drive na ilikua na vitu zaidi ya gb 20