Habari zenu wapendwa....
Naimani humu nitapata msaada ....... mimi nilikuwa naumwa typhoid na amoeba was result from hospital nikapewa ciproflucenllen na secnidazole(siku mbili)na nyingine nilizitumia kwa siku kumi...kuanzia siku ya nane kwenye matumizi ya dawa nikapata maumivu makali sana ya tumbo tena Mara nyingi ilikuwa wakati wa usiku au baada ya Kula chochote...nilihisi ni reaction ya dawa ILA baada ya kumaliza dawa bado maumivu yaliendelea nikarudi hospital wakahisi ni alcers nikapimwa ILA ckuwa nayo..Dr.akaamua kunipa dawa nyingine aina ya Fluconmole za siku kumi nikatumia maumivu yamepungua ILA hayajaisha na dawa nimemaliza tangu trh 24 jan....nilimpigia Dr.aliyeniattend akanishauri kutumia flagill still maumivu nayapata....wapendwa kwa yeyote anayeweza kunishauri plz nauthamini sana ushauri Wako...
mh......Mkuu mahali sahihi pa kupata msaada wa uhakika 100% ni kwa tatizo lako ni hospitali.
Nakushauri uende mara moja hospitali yenye wataalamu wa uhakika na vifaa tiba vya uhakika. Kama upo Dar, naamini kwa uzoefu wangu hospitali zifuatazo unaweza pata huduma ya uhakika. Tumaini hosp.,Regency hosp., Agakhan hosp. na nyinginezo.
Jf si mahali salama tena pa msaada, baada ya kuvamiwa na wavuta bangi, walevi, na watu wengine wasio na busara.
Habari zenu wapendwa....
Naimani humu nitapata msaada ....... mimi nilikuwa naumwa typhoid na amoeba was result from hospital nikapewa ciproflucenllen na secnidazole(siku mbili)na nyingine nilizitumia kwa siku kumi...kuanzia siku ya nane kwenye matumizi ya dawa nikapata maumivu makali sana ya tumbo tena Mara nyingi ilikuwa wakati wa usiku au baada ya Kula chochote...nilihisi ni reaction ya dawa ILA baada ya kumaliza dawa bado maumivu yaliendelea nikarudi hospital wakahisi ni alcers nikapimwa ILA ckuwa nayo..Dr.akaamua kunipa dawa nyingine aina ya Fluconmole za siku kumi nikatumia maumivu yamepungua ILA hayajaisha na dawa nimemaliza tangu trh 24 jan....nilimpigia Dr.aliyeniattend akanishauri kutumia flagill still maumivu nayapata....wapendwa kwa yeyote anayeweza kunishauri plz nauthamini sana ushauri Wako...
Mkuu mahali sahihi pa kupata msaada wa uhakika 100% ni kwa tatizo lako ni hospitali.
Nakushauri uende mara moja hospitali yenye wataalamu wa uhakika na vifaa tiba vya uhakika. Kama upo Dar, naamini kwa uzoefu wangu hospitali zifuatazo unaweza pata huduma ya uhakika. Tumaini hosp.,Regency hosp., Agakhan hosp. na nyinginezo.
Jf si mahali salama tena pa msaada, baada ya kuvamiwa na wavuta bangi, walevi, na watu wengine wasio na busara.
masanzakona kwa ss nimeamua nisitumie daws nisikilizie baada ya muda nurud tena hospital....thanx