Vipi, anonymous, hapo nyuma uliweka kitu kuhusu hack ya database uliyoifanya ya TIGO, nilidhani kuwa, utakuwa unayaelewa mambo ya kuitengeneza database ndio ujanja wa ku'hack uwe nao... Au muda hauna kwani upo busy ku'hack kazi za watu?:lol:

Refer to the heading.. nina hitaji msaada sijasema sifahamu kutegeneza na ata hivyo haujafaham ni database inahusu nini au ni ya aina gani mpaka nikaomba msaada.. na ata hivyo ili ni swala muhimu sio kama hilo la utani lilopita
Nani kasema utani?
Au hutaki ile thread nyingine iambatanishwe kwenye ombi lako? Wewe umejizatiti kuwa hacker, kwa hivyo ninatoa tahadhari kwa yule atakaye 'kusaidia' kuitengeneza hii database ajue wewe ni mtu wa aina gani, isijekuwa unataka kuutumia ujuzi wake ulio halali kufanya mambo ya wizi! na kumuingiza gizani...
Ok ni kwamba making a database from scratch ujuzi nilikuwa nao sio mkubwa na nimepata iyo kazi ndo maana nimekuja kuileta apa jamvni so if your intrested let me know by pm me and i will give you all the details