Sam pizzo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 910
- 625
kwenye post ya jinsi ya ku unlock huawei modem E173 kuna step nimekwama nilikuwa naomba msaada kidogo juu ya hii step"Then kisha angalia katika tabs juu na chagua "Select Firmware" Then chagua extract from EXE. Itafunguka window, sasa locate firmware ambayo ipo folder ulilo extract kabla file nilio ambatanisha, "E1731Update_11.126.15.00.00.B 416" Then itaonyesha kama ifuatavyo".