pole sana kaka,
jitahidi sana kuwa mtu wa maombi na kusoma neno la Mungu. hata hili lako litakapoisha endelea kufanya maombi kwa ajili ya watu wengine kwa ratiba maalumu kila siku. kwa kutafakari zaidi mabo ya kiroho utazishinda tamaa zako.
ni vizuri pia kuwaona wataalamu.
usimwambie kabisa mkeo hata baada ya tatizo kuisha kwani utazua mengine.