Help: Laptop inamatatizo yanayonikondesha..

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,700
Reaction score
104,841
Hello guys. There is this HP Laptop with a processor of 1.8GHz, 512MB of RAM and HDD of 58GB running windows XP Proffessional, version ya 2002.
It real drive me crazy, naomba msaada wenu...

1. Haina partition, yaani ina only Local Disk C. Nitafanyaje ili niweke partion (iwe na C na D), bila kuweka windows na upya?

2. Iko very slow, yaani inaboa sometimes. Speed ndogo kuanzia ukiwasha, kufungua programs na ata kurespond ukiclick physical buttons kama za sauti. Nifanye nini iwe somehow faster? Nimeshauliwa kuhusu Tune utilities, ila zipo nyingi, ipi nzuri?

3. Anti-Virus gani itafaa kwa Laptop kama hii, ambayo haina uzito sana. Maana kuna baadhi ya Antivitus, zinadababisha machine iwe nzito zaidi ya mwanzo.

Shukrani natanguliza.
 
Cha kwanza mkuu hakikisha kwamba hakuna program ulizoinstall ambazo hazi-slow down PC yako. Pia unaweza ku-configure PC iwe inawaka na program chache ziwe zina-run wakati inastart. Pia kuhusu partition, siyo ngumu sana kwenye kui-install XP yako kuna sehemu wanaku-prompt kama utahitaji ku-create partition. Kwa hiyo hiyo sehemu watu wengi huwa wanaipuuzia.
url.jpg
Kwa mimi ninavyofahamu, ukiwa unaweka Windows XP ndiyo unaweza kufanya partition.
NOTE: Hakikisha kwenye partition yako unaweka space ya kutosha kwenye C:\ drive ili usipate usumbufu wa kujaa mapema. mfano 28 unaweka C:\ na 30 unaweka D:\

Kuhusu Antivirus nzuri kwa ajili ya PC yako ambayo haitaslow down ni Microsoft Security Essentials. Ingawa watu wengi hawaitumii sana lakini imepanda kiwango sana mwaka huu.
Natumaini Umenielewa vizuri mkuu.
 
Mkuu kusema ukweli laptop yako inapitwa na wakati sana RAM 512, processor 1.8GHz
Jipinde utafute angalau ya 2gb RAM na processor ya maana ufurahie maisha bana

Toa software zote amabazo hutumii mara kwa mara bakisha zile muhimu tu, toa games bakisha browser moja antivirus nzuri ni Microsoft essential ipo lite na inapiga kazi vizuri
 
if you can buy a new one that is the best. But if not then I suggest you install Ubuntu XFCE or LXDE.
Or Ubuntu/Mint with Mate
 
View attachment 121838

Nimekupata vema sana Ambroce_Junior aisee. Alieweka windows sio mimi, so nilitaka kuweka partition sasa bila kuweka windows na upya.

Thank you for your reccomendation about Essential Microsoft, I will download it brother.

Msaada mkubwa naomba hapo kwenye partition tu. Nifanyeje?

Nitaweka hivo hivo size kama ulivoshauri.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kusema ukweli laptop yako inapitwa na wakati sana RAM 512, processor 1.8GHz
Jipinde utafute angalau ya 2gb RAM na processor ya maana ufurahie maisha bana

Toa software zote amabazo hutumii mara kwa mara bakisha zile muhimu tu, toa games bakisha browser moja antivirus nzuri ni Microsoft essential ipo lite na inapiga kazi vizuri

Aaahh, kweli kaka. It is old fashioned. Ila kwa now that is all I have brother.

Yup, nitafanya hivyo kuhusu that Antivirus.
 
nimekupata vema sana ambroce_junior aisee. Alieweka windows sio mimi, so nilitaka kuweka partition sasa bila kuweka windows na upya.

Thank you for your reccomendation about essential microsoft, i will download it brother.

Msaada mkubwa naomba hapo kwenye partition tu. Nifanyeje?

Nitaweka hivo hivo size kama ulivoshauri.
tumia easeus partition master
 
if you can buy a new one that is the best. But if not then I suggest you install Ubuntu XFCE or LXDE.
Or Ubuntu/Mint with Mate

Great idea!!! Ila sijui kama anaweza ku execute hiyo technical u turn!! Ubuntu raha jamani!!!!!!
 
tumia easeus partition master

Wale waliotangulia washamkatisha tamaa. Partition mananager ziko nyingi tu. Na pia kuhusu speed ajaribu kutafuta pc speed boosters zipo kwa mfano kama vile Glary utilities, WinUtilities, PerfectSpeed, Ccleaner nk.
 
Its a nice Linux family of OS. Don't try it because You will never look back to Windows.
Its very light and your machine will be happy!

Are you in DSM?

Easy bro. I have tested Mac and All Windows. Bado hii Ubuntu. Unataka niambia inamkalisha Windows 8?

Bahati mbaya nipo Iringa mzazi. Dah.
 
Thanks kwa kunipa moyo pal. Naomba unirecomend partition moja na speed booster moja nizifanyie kazi. Jioni naleta feedbacks. Thanks in advance.
 
Wale waliotangulia washamkatisha tamaa. Partition mananager ziko nyingi tu. Na pia kuhusu speed ajaribu kutafuta pc speed boosters zipo kwa mfano kama vile Glary utilities, WinUtilities, PerfectSpeed, Ccleaner nk.

Mkuu nani kamkatisha tamaa?
Ukweli ni kwamba laptop yake imepitwa na wakati, RAM 512 unategemea miujaza gani mkuu kurun software za kisasa?
Patrition zipo software kibao anaweza kutumia kufanya hivyo lakini hizo software za kuboost speed ni mbwembwe za kibiashara tu mkuu, zinaisaidia pc kurun kwenye maxmamum speed yake na si kuongeza speed ya ziada

Ushauri bora kama hana bajeti ya pc nyingine ni kujaribu kwa kadri atakovyoweza kuuninstall software zote ambazo hatumii mara kwa mara na hazina ulazima na kuacha chache sana ambazo RAM ya 512 itazimudu kwa uhakika hapo atapata speed kuliko kuanza kuongeza tena masoftware mengine ya kuboost speed
 
Am here, listerning your advices. Thank you Paul.S.S eeh. I will start with partition and later, I will bring feedbacks. Thanks.
 
Last edited by a moderator:
Easy bro. I have tested Mac and All Windows. Bado hii Ubuntu. Unataka niambia inamkalisha Windows 8?

Bahati mbaya nipo Iringa mzazi. Dah.
I use Windows 7 because I think Win8 is inferior. And I have put Windows 7 because some customers needs nothing great!
Ubuntu all the way 🙂
 
Ubuntu inabidi wajipange sana tu kuja kuibeat Windows
Sijawahi kuipenda........not user friendly
Wana Os kibao lakini utakuta wakatimwingine haziingiliani software

Binafsi naiona nzuri kwa kujua mautundu ya Ki IT lakini kwa matumizi ya kawaida ipo little bit complicated na hasa kama ulikuwa umezoea Windows,,,,,,,,Click next..........
 
Mh! I guess you are not Ubuntu user. Hapo kwenye red kama unaweza kuinstall Windows Software, unashindwaje kutumia Ubuntu software Center au Synaptic?

Kila siku nakutana na hii religious Mantra Ubuntu is complicated ila sijaona mtu aki substantiate claim yao.

Here are few things that shows Windows is complex
1. Installation
-Installing windows is long process with a lot of complex Guru kind of questions
-Ubuntu is very easy to install

2. Installing Software
-With Windows you have to find where to download (a place with no virii), install it
-With Ubuntu Software Center even standard seven student can search and click install

3. Usage
-Playing Music by default in Windows will crash when missing codecs
-With Ubuntu you get window telling you missing codec with button to click for Ubuntu to install it for you. Waiting is all you have to do

- Microsoft office starting with "ribbon version" is a complicated piece of software. You really need time and space to learn even the basics
- Libreoffice is quiet easy, very easy actually!

3. Terminal vs CMD
- With CMD you have ugly limited (even in width) console. Commands are convoluted non standard like dir
- Clean terminal with standard. You can use commands in ftp or home (ls for example or mkdir)

4. Choices
- If you don't like Windows default desktop you are doomed.
- In Linux you choose the shell to run: Gnome Shell, Unity, Mate, Cinnamon, CDE, et al

This is quick list I could make to show windows is actually complex that Linux/Ubuntu.
If you can use Windows then Linux should be easy for you. The only thing that Windows users find complex is trying to make Linux become windows. That is impossible!

Now prove me wrong by showing how easy Windows is.
 
Its a nice Linux family of OS. Don't try it because You will never look back to Windows.
Its very light and your machine will be happy!

Are you in DSM?

mi sasa natumia linuxmint olivia ila usipoiwasha kwa siku moja inagoma boot nini nifanye before nilikuwa natumia ubuntu 12.10 ikawa inazingua hivo nikaachana nayo nao hii nayo inataka kuniletea za ubuntu but linux mint tamu sana..
 
Mh! I guess you are not Ubuntu user. Hapo kwenye red kama unaweza kuinstall Windows Software, unashindwaje kutumia Ubuntu software Center au Synaptic?

Kila siku nakutana na hii religious Mantra Ubuntu is complicated ila sijaona mtu aki substantiate claim yao.

Here are few things that shows Windows is complex
1. Installation
-Installing windows is long process with a lot of complex Guru kind of questions
-Ubuntu is very easy to install

2. Installing Software
-With Windows you have to find where to download (a place with no virii), install it
-With Ubuntu Software Center even standard seven student can search and click install

3. Usage
-Playing Music by default in Windows will crash when missing codecs
-With Ubuntu you get window telling you missing codec with button to click for Ubuntu to install it for you. Waiting is all you have to do

- Microsoft office starting with "ribbon version" is a complicated piece of software. You really need time and space to learn even the basics
- Libreoffice is quiet easy, very easy actually!

3. Terminal vs CMD
- With CMD you have ugly limited (even in width) console. Commands are convoluted non standard like dir
- Clean terminal with standard. You can use commands in ftp or home (ls for example or mkdir)

4. Choices
- If you don't like Windows default desktop you are doomed.
- In Linux you choose the shell to run: Gnome Shell, Unity, Mate, Cinnamon, CDE, et al

This is quick list I could make to show windows is actually complex that Linux/Ubuntu.
If you can use Windows then Linux should be easy for you. The only thing that Windows users find complex is trying to make Linux become windows. That is impossible!

Now prove me wrong by showing how easy Windows is.

Ha haaaaa haya bana ngoja nikuache na Ubuntu yako
Maana hapo bado hujagusia securty, cost nk
 
Back
Top Bottom