Help: Iphone 6s personal hotsport

Help: Iphone 6s personal hotsport

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Posts
3,824
Reaction score
2,079
Habari za leo wakuu,Nimetatizika kupata Personal Hospot toka kwenye simu yangu,Kila ninapojitahidi kuunga napata ujumbe huu
5844b12a8fb2719be365bdfc985a80ee.jpg

Naomba msaada mwenye kujua ili niweze kutumia kwenye computer yangu
 
haya masimi jau tu,langu limegoma kuingiza application ya aina yoyote kutoka apps store,mbaya zaidi linaonekana ni tatizo common lisilo na ufumbuzi wa uhakika.maama naambiwa huwa inakuwa hivyo then inakibali baadae.

simu iko na vasion 11.
 
1. Ulikua unatumia hyo hotspot sahiv ndo imegoma?
2. Ukitumia internet kwenye sim inapatikana?

Mara nyingi huo ujumbe unakuja endapo kama internet iko down kutoka kwa carrier wako
 
Sijawahi kutumia Hotspot ndiyo nilitaka kuanza lakini ndo imegoma.Na nikitumia kwenye simu internet napata kama kawaida tu wala haisumbui.
 
haya masimi jau tu,langu limegoma kuingiza application ya aina yoyote kutoka apps store,mbaya zaidi linaonekana ni tatizo common lisilo na ufumbuzi wa uhakika.maama naambiwa huwa inakuwa hivyo then inakibali baadae.

simu iko na vasion 11.

Unatumia simu aina gani??
 
Labda aina ya bundle unayotumia imewekewe restrictions za kushare ? Unatumia mtandao upi? Mimi nilitumia Zantel wakati flani walikuwa na promo nilipata GB nyingi nikapata hamu ya kugawana na wadau kidogo ikanijibu hivyo hivyo.
 
Sijawahi kutumia Hotspot ndiyo nilitaka kuanza lakini ndo imegoma.Na nikitumia kwenye simu internet napata kama kawaida tu wala haisumbui.
Nenda setting kisha cellular alafu utaikuta huko personal hotspot na kuingiza password kila kitu (au hata huko haionekani na inagoma?)...
 
Nakushukuru sana sana nimeingia huko na sasa mambo yako vizuri sana inafanya kazi vizuri sana.
a68b12938dfae6118e69b4487ff1cbd2.jpg
 
Kati ya simu nzuri sana ni hiyo Iphone 5S hasa wewe kipi kinakusumbua kwenye hiyo simu????
mkuu ktk swala la simu sijui kama kuna simu inaweza nisumbua,mpaka nimelalamika ujue imenivuruga.

si haikubali kuingiza application ya aina yoyote kutoka app store,ita load halafu inakata.
jioni hii nikajaribu kuunga wifi simu kwa simu ikakubali,lakini kwa data ya kawaida au wifi nyingine ni no.
 
Kwa haraka haraka sehemu network ni ya mawenge lakini ukipata sehemu yenye network safi haitakuwa na shida sana!!
 
mkuu ktk swala la simu sijui kama kuna simu inaweza nisumbua,mpaka nimelalamika ujue imenivuruga.

si haikubali kuingiza application ya aina yoyote kutoka app store,ita load halafu inakata.
jioni hii nikajaribu kuunga wifi simu kwa simu ikakubali,lakini kwa data ya kawaida au wifi nyingine ni no.

Mkuu hapo issue ni ndogo sana
unachopaswa ni kuruhusu App Store itumie mobile data basi
 
mkuu ktk swala la simu sijui kama kuna simu inaweza nisumbua,mpaka nimelalamika ujue imenivuruga.

si haikubali kuingiza application ya aina yoyote kutoka app store,ita load halafu inakata.
jioni hii nikajaribu kuunga wifi simu kwa simu ikakubali,lakini kwa data ya kawaida au wifi nyingine ni no.

Mkuu ingia setting scroll down utaona app store bonyeza hapo scroll down tena kisha weka on data
Imefungwa ndio maana kila unapojaribu kudwnload apo yoyote inagoma
Data yake ipo off
Naposema data simaanishi data ya simu ya internet
Ni data ya appstore
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom