Help: Iphone 3g parts

Help: Iphone 3g parts

jumaa24

Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
97
Reaction score
13
guys i need help kwa mtu anaefahamu wapi naweza pata parts za iphone 3 original!! eg. Battery, display or power flex cable
 
nilijua upo arusha kaka sababu kuna fundi namjua huku...ngoja wadau wengine waje wakusaidie wanaojua mitaa ya dar...
 
Tupia maelekezo ya Arusha pia au ni inbox kama vipi, manake utasaidia wengi me pia nahitaji kubadili betri kwenye ihpone 3gs ntashukuru sana kwa maelekezo.
 
Hujabahatika kuchec chec kujua cost yake ya battery original kaka??
 
Hata cjacheck kaka na sijui nichekie wapi nasikia mpaka uwapekekee apple wenyewe sasa hapa kwetu tz tutawapatia wapi ila wacha waziefu watuambie!
 
kuna rafiki yangu alibadilisha na bei ya battery mpya inarange between 35,000-45,000 na fundi ni yeye ngoja nikupm namba za huyu wa arusha mkuu...
 
Na mimi pia naomba hizo contact mkuu
 
Jamani naomba mnisaidie na mimi hiyo contact. Nahutaji kubadilisha battery.
 
Back
Top Bottom