Help:I Need a Brilliant Smartphone,tel me the 1 u apprciate!

Su Hai

Member
Sep 28, 2012
5
0
Smartphone inayorange Tshs 400,000-500,000,yenye Faster Intrnet,processor approx 1GHz..in brief ynye feature za kutosha,also napenda sana games za kiwango kama GTA Vice City whch brand can satisfy all these,iwezayo fungua files of dffrnt types,internal memory ya kuniwezesha kusave browser kama fire fox and other apps.In short cmu ni entrtainer wngu mkubwa so I need a real pretty one!!.Alwys wana JF mpo helpful,so I expct ve&helpfl replies!!
 
tafuta s2 mpya utapata kwa 600,000 lkn huwezi juuta.samsung galaxy s2 19100
 
touch screen sio simu ya kuchezea game always inaboa ni simu ambayo ipo rich kwenye multmedia

kwa sababu upo na bei nzuri kidogo ntakutajia simu kwenye kila brand uchague

nokia e6
nokia-e6-00-ofic.jpg

inaonekana cheap lakini hii simu ipo vizuri inatumia latest symbian belle so utaenjoy new hd games za nokia (quality kama ya psp)

samsung galaxy beam

ni ngumu kupata gaming phone kwa samsung nyingi zipo kimultmedia sana ila kuna hii galaxy beam ya ukweli ina projector kwa ajili ya games japo bei ni kubwa kuliko hio uliyonayo instead ya kuongeza hela na kuchukua s2 bora opt hii
samsung-galaxy-beam-2012.jpg

sony ericson xperia play

when u talk about gaming smartphone huyu ndio mkali wao hii ipo certified na bei exactly kama yako yaani 4 hadi 5
18235.jpg

pia kwa sababu unataka uwe entertained kwa bei hio kuna tablets nzuri tu kama kindle fire, nexus, galaxy tab 2.7 unaweza pata
 
Nimekukubali chief thanks for ur help, nimeipenda Xperia zaidi,vp beam anaenda how much Tshs?
 
touch screen sio simu ya kuchezea game always inaboa ni simu ambayo ipo rich kwenye multmedia

kwa sababu upo na bei nzuri kidogo ntakutajia simu kwenye kila brand uchague

nokia e6
nokia-e6-00-ofic.jpg

inaonekana cheap lakini hii simu ipo vizuri inatumia latest symbian belle so utaenjoy new hd games za nokia (quality kama ya psp)

samsung galaxy beam

ni ngumu kupata gaming phone kwa samsung nyingi zipo kimultmedia sana ila kuna hii galaxy beam ya ukweli ina projector kwa ajili ya games japo bei ni kubwa kuliko hio uliyonayo instead ya kuongeza hela na kuchukua s2 bora opt hii
samsung-galaxy-beam-2012.jpg

sony ericson xperia play

when u talk about gaming smartphone huyu ndio mkali wao hii ipo certified na bei exactly kama yako yaani 4 hadi 5
18235.jpg

pia kwa sababu unataka uwe entertained kwa bei hio kuna tablets nzuri tu kama kindle fire, nexus, galaxy tab 2.7 unaweza pata

Nimependa NOKIA E6, kwa kuwa touchscreen sizipendi na sio user friendly.
Ningepata latest smartphone ambayo ni typical candybar (isiyo na QWERTY) kama E52 ingekuwa poa zaidi.
 
WEKA HELA ZAKO HADI ZITAKAPOFIKA 2x YA SASA HIVI, NDIO UTAPATA SMARTPHONE, HAWA WANAOKUPA AINA, HIZO smartchina au pengine ni NEWGEN SMARTPHONE
 
kwa simu kama hiyo no way ipo moja tu nokia c5 yenye 5mp. sema uwe makini zipo c5 mbili ya zamani na mpya moja ni 5mp nyengine ni 3.2mp
 
Nimependa NOKIA E6, kwa kuwa touchscreen sizipendi na sio user friendly.
Ningepata latest smartphone ambayo ni typical candybar (isiyo na QWERTY) kama E52 ingekuwa poa zaidi.

nokia e6 ni touch pia japo ina keypads.
 
WEKA HELA ZAKO HADI ZITAKAPOFIKA 2x YA SASA HIVI, NDIO UTAPATA SMARTPHONE, HAWA WANAOKUPA AINA, HIZO smartchina au pengine ni NEWGEN SMARTPHONE

Usimkatishe tamaa bana, laki 5 anapata simu ya ukweli tu bana! iPhone 4 lak6.
 
ukitaka kununua kitu nakushauri ufanye research kwanza ukishajua brand unayotaka then go for it
:drum:
 
touch screen sio simu ya kuchezea game always inaboa ni simu ambayo ipo rich kwenye multmedia

kwa sababu upo na bei nzuri kidogo ntakutajia simu kwenye kila brand uchague

nokia e6
nokia-e6-00-ofic.jpg

inaonekana cheap lakini hii simu ipo vizuri inatumia latest symbian belle so utaenjoy new hd games za nokia (quality kama ya psp)

samsung galaxy beam

ni ngumu kupata gaming phone kwa samsung nyingi zipo kimultmedia sana ila kuna hii galaxy beam ya ukweli ina projector kwa ajili ya games japo bei ni kubwa kuliko hio uliyonayo instead ya kuongeza hela na kuchukua s2 bora opt hii
samsung-galaxy-beam-2012.jpg

sony ericson xperia play

when u talk about gaming smartphone huyu ndio mkali wao hii ipo certified na bei exactly kama yako yaani 4 hadi 5
18235.jpg

pia kwa sababu unataka uwe entertained kwa bei hio kuna tablets nzuri tu kama kindle fire, nexus, galaxy tab 2.7 unaweza pata

chief hiyo nokia e6 inaenda sente ngapi kwa sasa??..
 
I have changed smartphones as followers and I can tell you they are all superb. 1. LG Optimus 2x P990; Htc one X and Samsung galaxy S2G (I9100G) that I am still using. Galaxy S2 is a very good phone. If your pockets are swolen you can go for galaxy S3 (I9300). Also there is Sony Experia S and Iphone 5.
 
Galaxy s2 ngapi inauzwa bro?
 
Back
Top Bottom