A axel fowly Senior Member Joined Aug 14, 2012 Posts 137 Reaction score 49 Aug 24, 2012 #1 Habari zenu wakuu natumia phone aina ya LG-GT350i kila nikijaribu kudownload applications kwenye site kama vile getjar naambiwa operating system haisupport je ni site gani zenye applications zinazosupport os ya hii simu...naombeni msaada jamani
Habari zenu wakuu natumia phone aina ya LG-GT350i kila nikijaribu kudownload applications kwenye site kama vile getjar naambiwa operating system haisupport je ni site gani zenye applications zinazosupport os ya hii simu...naombeni msaada jamani
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,278 Reaction score 44,413 Aug 24, 2012 #2 simu yako ni java yenye resolution ya 240 x 400 copy pembeni au kremu utahitaji kuitumia sehemu nyingi za kudownload Hii link ina magame 100 ya simu yako katika file 1 la rar 240x400_java.rar http://lux.wen.ru/games/touchscreen/240x400
simu yako ni java yenye resolution ya 240 x 400 copy pembeni au kremu utahitaji kuitumia sehemu nyingi za kudownload Hii link ina magame 100 ya simu yako katika file 1 la rar 240x400_java.rar http://lux.wen.ru/games/touchscreen/240x400
A axel fowly Senior Member Joined Aug 14, 2012 Posts 137 Reaction score 49 Aug 24, 2012 Thread starter #3 chief-mkwawa said: simu yako ni java yenye resolution ya 240 x 400 copy pembeni au kremu utahitaji kuitumia sehemu nyingi za kudownload Hii link ina magame 100 ya simu yako katika file 1 la rar 240x400_java.rar Download Free Java Games for 240x400 Touchscreen mobile phones Click to expand... Na shukuru sana mkuu..
chief-mkwawa said: simu yako ni java yenye resolution ya 240 x 400 copy pembeni au kremu utahitaji kuitumia sehemu nyingi za kudownload Hii link ina magame 100 ya simu yako katika file 1 la rar 240x400_java.rar Download Free Java Games for 240x400 Touchscreen mobile phones Click to expand... Na shukuru sana mkuu..