Medical Dictionary
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,060
- 309
hakuna mahusiano kati ya tv yenye mgongo na isiyo na mgongo katika analog na digital function. zote ni vipokezi tu, wanakusudia hizi antenna ndio zitakuwa hazifanyi kazi. kila mtu atahitajika kutumia reciever (kingamuzi) kama ndio antenna yake
Cha muhimu ni kuangalia kama hiyo TV ina Digital Tuner (standard ya DVB-T) kama haina basi itabidi ununue decoder. Kuna TV za mgongo na flat ambazo zinaweza na zengine haziwezi kuonyesha DVB-T. Limeshaongelewa sana humu, tafuta hiyo thread.