salaam wakuu,
kwanzia jana sijui simu yangu imepata tatizo gani. yaan gmail a/c inakataa kabisa kulogin inaleta this error: there was network problem while trying to login to (my email). nashindwa kuelewa maana apps nyingine zote ziko fully functional, kasoro to google playstore ila hata nikitaka kudownld apps kwa kutumia mobogenie inakubali bila tatizo. hapa shida ni nini? and how to troubleshoot.
cc:
njunwa wamavoko,
chief-mkwawa