Sijui wewe unaishi nchi gani kudai kuwa waamerika hawatangazi maafa yao. Wanatangaza tena kwa sauti kubwa sana, na watajenga; jamaa hawa nchi yao hupigwa na maafa makubwa makubwa karibu kila mwaka, lakini wapo wanaendelea tu. Wao wana kitu kinaitwa FEMA ambacho kinashughulikia maafa kama hayo, hawaombi msaada kutoka kwa mabalozi wa nchi za nje.