Helow Tanzania

Chris Daniel

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
8
Reaction score
2
Helow Tanzania!

"I am very happy to share with u this beautiful
moment of my life."
Mwezi wa tatu nilichaguliwa na kampuni ya Gold
films company ya Australia (Nimewai kuwa field
kabla) kushiriki katika muendelezo wa utengezaji
wa tamthilia ya zamani "sea patrol".
Nimeingizwa kwenye crew ya kutengeza script
(My professional and nimshindi wa muandishi
bora wa filamu wa diploma 2011 Griffith University). Kwa kweli niponafuraha nyingi sana.

This pround is for my country.
°°Bless°°


CONTANTS
www.facebook.com/christopherbumela
www.twitter.com/ChrisBMDaniel
 
Sawa,pumzika sasa mwanangu.Hongera lakini usijisahau
 
Kaka hongera sana. Hayo ni mafanikio makubwa..... weka link ya hiyo project ili nasi tuone
 
mmmmh hii nayo nini hapa CC.........................
 

Ndio gia yako kuchukua vimwana hapa jamvini? Yaani umejipinda kote huko kuandika risala ili uwakwapue kirahisi kina madamme B a.k.a maharage ya mbeya
 
Ndio gia yako kuchukua vimwana hapa jamvini? Yaani umejipinda kote huko kuandika risala ili uwakwapue kirahisi kina madamme B a.k.a maharage ya mbeya

Nahisi wewe wakati mimba yako inaingia siku hiyo, Baba yako alimtia mama yako wakati yuko kwenye hedhi.
 
Duh watu wanacomment nzito mpaka screen yangu inazima
 
Aise hii mijicomment

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…