Helo Helo Tanzania!

Helo Helo Tanzania!

UKOSI

Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
35
Reaction score
5
Natokea Tanzania taifa lenye viongozi wazito kimaamuzi,hii ndio Tanzania vijana tunanunua gazeti kwa ajili ya kusoma habari ya diamond na wema,
umeme unapanda bila hata sababu maalum,huduma mbovu za afya,wanaokimbizwa mtaani ni wavuta bangi,ila wezi wa epa,Richmond na upuuzi mwingine wapo mitaani,naipenda nchi yangu
 
SHKAMOO UKOSI.... Nlizaliwa tz nchi ambayo kila kitu ni siasa hata kwenye afya za watu,
nchi ambayo ni kichwa cha mwendawazimu
Nchi ambayo katiba mpya inaamuliwa na chama tawala....,.
nchi ambayo ina dictatorship democracy......
Nchi ambayo ukiwa mwanasiasa hata uwe na kesi ya kuua itazimwa......
Nchi ambayo wanasiasa wasomi /dr,profs/, hawana mchango wowote kwa taifa BORA HATA MCHANGO WA STD 7.
Nchi ambayo kila GAVANA atakayewekwa bot lazima AIBE MABILIONI YA FEDHA na hatachukuliwa hatua yoyote
Nchi ambayo MENO YA TEMBO au mali zinaweza kuibiwa zikiwa kituo cha POLISI
Natokea tz nchi ambayo yaliyotokea kenya yanaelekea kutokea
Natokea tz nchi ya KIS.....NGE
HELLO, hello TZ usiwe MZALENDO,sambaza CHUKI,tz at 50.....
 
Tanzania yetu hii..! Wapinzani wanasusa hata mambo makubwa! Yaani wanafikiria kugoma tu, wavivu kufikiri yaani kila kitu kifanywe na serikali tu
 
Tanzania yetu hii..! Wapinzani wanasusa hata mambo makubwa! Yaani wanafikiria kugoma tu, wavivu kufikiri yaani kila kitu kifanywe na serikali tu


Wamesema hawako tayari kubeba lawama ya vizazi vijavyo ikiwa watashiriki ktk kupitisha maamuzi mabovu yanayopendekezwa na chama cha magamba.
 
Aaaaaaaaah mnataka munitoe machozi sasa
Tanzania ambayo wanaodai haki ndo wanaovunja amani (cuf na chadema)
Tanzania ambayo anaeifanya kazi aliyopewa hatumuamini (warioba)
 
helo helo tz,nchi ambayo ina maajabu mengi ya dunia,kubwa kwangu mm ni kuckia mtu kafaulu lakini hajui kusoma wala kuandika,tujiulize waliofeli hawajui nini?NAIPENDA NCHI YANGU.
 
Back
Top Bottom