tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,426
- 4,779
- Thread starter
-
- #21
Acheni kuwehuka nyie...
Jamaa kajitungia tu habari, amekuta documentary youtube....
Hizo helmet hazina uhusiano na gharama hiyo.....
Ndo bei yake $400,000.Acheni kuwehuka nyie...
Jamaa kajitungia tu habari, amekuta documentary youtube....
Hizo helmet hazina uhusiano na gharama hiyo.....
umeongea point mkuu,kiukweli criticism ni hatari sana kwasababu it wounds a person's precious prideKwenye hiyo youtube wamesema $400,000/= jamaa ndo akaziweka kwa hizi zetu za madafu. Wewe unasema hazina gharama hizo. Hakukuwa na haja ya kusema amejitungia story. Wewe kama hupendezwi unakaa tu kimya. Na sio kumponda mwenzako.
Ngoja tumalizane kwanza na vyeti feki, magaidi wa kibiti, kusaka uhakiki wa faru john kumlinda mkewe fausta, kulipana visasi, kupatanisha kafu a na kafu b tutafika tu huko kwenye helment za miujiza.
Labda vi-wonderHehehe, labda Tanzania ya viwanda ikifika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda vi-wonder
Kwani unga bei ameupa nani?!Bei amezipa nani ama ndio bei elekezi
MkulimaKwani unga bei ameupa nani?!
Bhas km mkulima, jibu la swali lko utakua ushalipata.Mkulima