Hellow!

NatJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
353
Reaction score
148
Hebu cheki hii tofauti ya ukopaji kati ya mzungu na mswahili:

MZUNGU- hi bro, i need USD 100 will pay u back on Monday

mswahili- kaka vipi? Dah hatuonani mzee, vipi mishe mnatunyima nini? Juzi nimekuona kwa mbaali shavu dodo full kipupwe, sie tupo bwana, shida tu halafu misiba mingi tu, wife naye anasumbua, kuna cheque nasubiria haijatoka hadi leo wanasema itatoka next week hapa nimekwama mzee unaweza kunipa......!

Hii imekaaje? kutoa maelezo meengi badala ya kwenda straight to the point?
 
Hata wanaokopwa huwa wanatamani wapigwe saundi kwanza...ndio maana maelezo huwa mengiiii
 
ndio maana huyo ni mzungu
na sisi tukaitwa waswahili!hatuwezi fanana
hata siku 1!

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…