Hellow...

calvin g wa fpa

New Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Hellow ndogo zangu,.. nihitaji ufumbuzi juu ya suala hili kwa yeyote anaeweza kunisaidia. ni hivi nahitaji kupata camera kubwa ambayo ina uwezo wa kushoot video za music pamoja na film nahitaji kujua kama naweza kupata camera ya aina gani ambayo itanifaa kulingana na soko lililopo sasa na yenye quality nzuri ya picha pamoja na sauti. isizidi milion 6. kama kuna mtu ana ufahamu zaidi juu ya hili suala ningependa kuomba msaada wake..!! ahsante..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…