hellow.....,

hellow.....,

Joined
Dec 12, 2011
Posts
9
Reaction score
1
Hellow great thinkers huyu ni mgeni ktk forum ya jamii anawasalimia wazee wa mtaa...........,pia anaomba kukaribishwa
 
karibu sana..this is a great place to be...kuna mengi ya kujifunza humu...afu weka avatar tukuone...si unaona kama mimi apa niko tilalila

Pia usiubali mtu akuite mcameruni
 
Umechukua maamuz sahihi kuwa membe wa JF. Karibu saaana bwana believer
 
Back
Top Bottom