N Ntuya Senior Member Joined Jan 18, 2011 Posts 112 Reaction score 16 Jan 18, 2011 #1 Hellow Habari zenu wanajf, wajomba na mashangazi zangu naomba mnipokee ndugu angalau na mimi niweze kushiriki katika hili jukwaa na watu wanaoweza kudadavua mambo kwa ufasaha a.k.a Great Thinkers. Ahsanteni kwa ukarimu wenu.
Hellow Habari zenu wanajf, wajomba na mashangazi zangu naomba mnipokee ndugu angalau na mimi niweze kushiriki katika hili jukwaa na watu wanaoweza kudadavua mambo kwa ufasaha a.k.a Great Thinkers. Ahsanteni kwa ukarimu wenu.
Rungu JF-Expert Member Joined Feb 23, 2007 Posts 3,932 Reaction score 1,727 Jan 19, 2011 #2 Karibu ukaribike, Ntuya!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jan 19, 2011 #3 Karibu sana.