.Sasa hii inahusiana nini na science n tech.....Voda hakuna cha zaidi tena,hili tangazo lafaa liende jukwaa la matangazo
.
Lol hawa jamaa kuna siku watatuacha watupu kabisa hawa....
Toka wabanie kubundi naona bwana Joe hutembei usiku kabisa....
.
Natembea ila route fupi fupi. Maana usiku ndio muda wangu wa kujidai mchana nakuwa tight. Sasa ivi kwa kweli nadownload mb mia tatu tu kwa usiku ambayo ni episode moja ya series ambayo nilikuwa naiangalia sasa nikawa namalizia season ya mwisho jamaa wakabana.