Nicky Sean
Member
- Jan 19, 2014
- 14
- 4
kuna dada 1 nampenda xana na ananipenda bt huwa aNanilazimisha kusex wakati bado tuko skuli,na mimi sipendi to do so,nifanyeje?!
Uko kidato cha ngapi?
Hapo ss ndio balaa[nikoform6#FFOOOO],huwa namwambia tungesex when we've got married bt hanielew!
kuna dada 1 nampenda xana na ananipenda bt huwa aNanilazimisha kusex wakati bado tuko skuli,na mimi sipendi to do so,nifanyeje?!
hilo ni tusi lako hapo juu usengery mmezidi nyie watoto muende kwa watoto wenzenu sie watu wakubwa.
Mmesikia nyie vitoto ?
Sio mbaya dada
uwiiiiii
tuamkie kwanza dada zako
mmh!! tatizo nn?!
Mwambie dudu yako umeifungia kabatini na funguo anazo baba...