Helloow

Hahaaaa, lazima uliweka juhudi zaidi kumsahau, huwa haitokei tu.

Damu inayomwagika ni agano kati ya mtu na mtu (that how it is meant) so mtu asipojifungua kwalo, ndio hivyo kila wakikutana wanaanguka kwa sababu hawakutengua agano. na kuna watu hawaolewi/kuoa au wakioa/kuolewa ndoa hazidumu kwa sababu ya maagano walio nayo kwa watu wengine.

Wajua mtu alilala na mwingine wanakuwa na muunganiko? na wanaunganishwa pia na baraka au laana za kila upande?
Ndio maana kuna umuhimu wa kuvunja maagano yoyote mtu amewahi kuingia kwa kujua/pasi kujua kabla ya ndoa ili kuwa huru from the chains.

nimkumbuke wa nini
nina maisha yangu ana yake
hata jina nishasahau hahaaaa!
[/QUOTE]
 
wala haikunipa shida
ni kujiendekeza kujifanya
ulifooooli, ukiamua kuendelea na life lako
ni rahisi kusahau chochote kisicho na umuhimu
kwa wakati huo Tized!!!
 
Last edited by a moderator:

Ww bwana mdogo Jeremiah fofo umethibitisha vp km kweli ana kizibo? siku hizi vitoto hivi ndo hatari! Kalagabaho!! :shut-mouth:
 
Wewe acha mambo ua kilooser..madem hua wanapretend kua n bikraz nkt hamna kitu..pia hivi vitu havina formular sio sababu et umetoa bikra et ndo atakumbk ooh hta kama akikukumbk milele whts the point? Maana hautapata notification kwamba eyy ur ex is thinkin abt u right now..acha mambo ya kishamba cha msingi kula mzigo..ila bikra zinasumbua kuachia mzigo..!!
 
Wee bikra wanaraha sana lakin hao used noumer bhn haon ajabu kumpa malavidavi mtu baki na zikimpanda kma ww upo nae mbali ndo kabisa lakn bikra mst akutafute coz ww ndo mjanja wake den ndo wakwanza kuvunja kikombe

kijana wajidanganya....ukishamtifua basi umefungua mlango kwa yoyte yule
 
MkuÙ....kuonja ni must,usisikilize hzo stori ili approve kama kweli anakupenda au mnapendana lazima chupi ivuliwe hapo huu ndo utaratibu tangia edeni,ni lazma kwa sabab kabla ya kuoa lazma ujue ni bwawa au kitu mnato-na sign out

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…