Jeremiah fofo
Member
- Feb 7, 2013
- 36
- 11
mmmmhhhh!!!
kuku wako mwenyewe
haraka ya nini,vuta subira
atajakupa tu hayo makitu lol!!!
achana na bikra wasumbufu...chukiwa hawa used maana kwao mugegedana ni must
Eti eee inabidi niwe mtulivu kumbe basi ngoja nisimdisturb maana ataniona kama nahtj malavidavi tu kutoka kwake
Wee bikra wanaraha sana lakin hao used noumer bhn haon ajabu kumpa malavidavi mtu baki na zikimpanda kma ww upo nae mbali ndo kabisa lakn bikra mst akutafute coz ww ndo mjanja wake den ndo wakwanza kuvunja kikombe
ndio hivyo
atahisi unataka umkule
thn um dump coz ndio
silka ya wadada wengi
we nenda nae adoado tu!!!
imani yako tu
wakijanjaluka wabaya hao!
na usaliti ni tabia ya mtu
haijalishi ulimpata used au la!!!
Yani sasa hivi nahc mpaka yeye mwenyewe atajiuliza maswal ntaenda nae mwenda wa kinyonga had end of the day ananipa menyewe
Hata kama akinisaliti lakin lazima niwepo kwenye ubongo wake coz lazma atakumbuka tu usichana wake ulitolewa na nan ndo hapo sasa atakapo kufkria bt used thijui
yah!!
utakula tundi
kwa raha zako!!
we jidanganye tu
eti atakukumbuka heheeee!
inasahaulikaga hiyo wewe!!
Kweli ndomaaana nikimtell vitu kma hvyo ananiambia nisubir kumbe kunavi2 ananiandalia kidogo kidogo dem bikra bhn[/QUOTE
halafu wewe
nahisi ni hichi kizibo
tu unataka ukizibue usepe
poor her!!nimeshtuka!!
Natamani umtunze zaidi na kumjengea uaminifu umsubirishe hadi ndoa if she the one. Kama kupenda ni lazima kufanya ngono basi machangudoa (me/ke) wangeongoza kuwa na upendo.
Something very important wengi wanakipuuza, Ukiamua unao uwezo wa kuuambia mwili na wawazo yako nini cha kufuata na kufikiri navyo vitatii. kama haikuwa hivyo basi tungekuwa wote matendo yetu yanafanana. kwa nini huyu aweze na huyu asiweze? where the difference lies?
Mkuu onesha subira na unaweza ukiamua. Isipofanikiwa haikuwa yako.
''No one can can make you inferior without your own consent'' Elenor R.
Kweli ndomaaana nikimtell vitu kma hvyo ananiambia nisubir kumbe kunavi2 ananiandalia kidogo kidogo dem bikra bhn[/QUOTE
halafu wewe
nahisi ni hichi kizibo
tu unataka ukizibue usepe
poor her!!nimeshtuka!!
Mmmmhh!!haiwez kusahahurika ww,ngoja nikuulize swali la kizushi we umemsahau?[/QUOTE
nimkumbuke wa nini
nina maisha yangu ana yake
hata jina nishasahau hahaaaa!
Subiria hivyo hivyo hii ndio bongoland na utakuja shangaa kitu kishatolewa zamanii