A Ainekisha Member Joined Nov 1, 2010 Posts 10 Reaction score 0 Nov 1, 2010 #1 Habari wadau? Kwanza hongera wapiga kura wa jimbo la Nyamagana na Ilemela kwa ushindi wa kishindo.
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,835 Reaction score 4,240 Nov 1, 2010 #2 Ainekisha said: Habari wadau? Kwanza hongera wapiga kura wa jimbo la Nyamagana na Ilemela kwa ushindi wa kishindo. Click to expand... nipe matokeo ya hapo mkuu.
Ainekisha said: Habari wadau? Kwanza hongera wapiga kura wa jimbo la Nyamagana na Ilemela kwa ushindi wa kishindo. Click to expand... nipe matokeo ya hapo mkuu.
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Nov 1, 2010 #3 Habari wadau? Kwanza hongera wapiga kura wa jimbo la Nyamagana na Ilemela kwa ushindi wa kishindo,originally posted by AINEKISHA Tupe matokeo zaidi mkuu,ina maana na Diallo naye ameanguka!!!
Habari wadau? Kwanza hongera wapiga kura wa jimbo la Nyamagana na Ilemela kwa ushindi wa kishindo,originally posted by AINEKISHA Tupe matokeo zaidi mkuu,ina maana na Diallo naye ameanguka!!!
N nyuki dume JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 435 Reaction score 34 Nov 1, 2010 #4 Mbona Bw Kabwe hataki kutangaza ushindi huo?au anataka kuchakachua matokeo? :rip: Masha
JOYCE PAUL JF-Expert Member Joined Jan 8, 2010 Posts 1,005 Reaction score 83 Nov 1, 2010 #5 Tarrifa iliyopo mpaka sasa ni kuw amasha anaongoza..............