habari wana Nzega!
Natafuta kampani ya wana JF waliopo Nzega.....iwe wa kiume au wa kike haina shida.
Nina miezi 6 tangu nimefika nzega ila niko bored ile mbaya.
nahitaji kampani kwaajili ya kutembeleana,kubadilishana mawazo n.k,kwa alie tayari na yupo nzega mjini plz drop me a PM.
Niko serious,nahitaji kampani tu na wala si mengine so ht km umeolewa au umeoa kwangu haina shida kbs.