Andfaru JF-Expert Member Joined Nov 9, 2012 Posts 223 Reaction score 151 Nov 9, 2012 #1 Wadau nafurahi sana kujiunga na umma huu wenye mawazo chanya katika kuleta ukombozi wa kifikra hapa nchini............:happy:
Wadau nafurahi sana kujiunga na umma huu wenye mawazo chanya katika kuleta ukombozi wa kifikra hapa nchini............:happy:
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,618 Nov 9, 2012 #2 Karibu dogo
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,923 Reaction score 4,594 Nov 9, 2012 #3 Karibu sana , nidhamu mbele vinginevyo tunakupeleka kwa ngwilizi
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,566 Reaction score 10,623 Nov 9, 2012 #4 Du karibu lakini ameingia choo cha kike mtoeni asije kutwa na kina mama!
B Bobuk JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 5,870 Reaction score 3,278 Nov 9, 2012 #5 Andrew Faru said: Wadau nafurahi sana kujiunga na umma huu wenye mawazo chanya katika kuleta ukombozi wa kifikra hapa nchini............:happy: Click to expand... Umekuwa Sheikh Yahya!? Umejiunga leo tayari umehitimisha JF in mawazo chanya!! Anyway usisahau kusoma ette quette za JF
Andrew Faru said: Wadau nafurahi sana kujiunga na umma huu wenye mawazo chanya katika kuleta ukombozi wa kifikra hapa nchini............:happy: Click to expand... Umekuwa Sheikh Yahya!? Umejiunga leo tayari umehitimisha JF in mawazo chanya!! Anyway usisahau kusoma ette quette za JF
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,413 Reaction score 3,041 Nov 9, 2012 #6 Karibu sana.
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,105 Nov 9, 2012 #7 Karibu sana Andrew,daaaah!chozi limenitoka,kila nikiona jina la Andrew napungukiwa na furaha,namkumbuka sana rafiki yangu kipenzi aliyeuwawa na majambazi(RIP my friend Andrew).
Karibu sana Andrew,daaaah!chozi limenitoka,kila nikiona jina la Andrew napungukiwa na furaha,namkumbuka sana rafiki yangu kipenzi aliyeuwawa na majambazi(RIP my friend Andrew).
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,942 Reaction score 13,927 Nov 10, 2012 #8 Karibu sana JF.
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 57,024 Reaction score 46,474 Nov 10, 2012 #9 Karibu sana.