Helloo guys any updates from NACTE pls

Hv wakuu kwa mtu ambaye alisoma grade A kulikuwepo na ulazima wa kuweka cheti hcho wakati wa kuomba kujiunga na bachelor? Inakuaje ka hakuweka na kwasasa profile yake haimpi nafasi ya kufanya hvyo??
 
Grade A ni certificate level, matokeo yanayokuruhusu ufanye bachelor ni ya Diploma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…