Ulimate4 Member Nov 5, 2010 37 1 Nov 16, 2010 #1 Hodi kwa wanJF wote tz, mmmm ni matumaini yangu kwamba tutakua pamoja ktk hili jukwaa la JF,maomba ushirikiano wenu na idhini yenu kuutambua uwepo wangu hapa,ahsante
Hodi kwa wanJF wote tz, mmmm ni matumaini yangu kwamba tutakua pamoja ktk hili jukwaa la JF,maomba ushirikiano wenu na idhini yenu kuutambua uwepo wangu hapa,ahsante
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Nov 16, 2010 #2 Karibu sana ultimate4 jamvini. Zingatia sheria na kanuni zetu za hapa jf
NewDawnTz JF-Expert Member Nov 15, 2010 1,667 362 Nov 16, 2010 #4 Ivuga said: karibu, jitambulishe jinsia Click to expand... Ivuga uko sensitive...anyway, ndo Mnyama alivyo, always active and sensitive. Ultimate4 karibu sana Jamvini
Ivuga said: karibu, jitambulishe jinsia Click to expand... Ivuga uko sensitive...anyway, ndo Mnyama alivyo, always active and sensitive. Ultimate4 karibu sana Jamvini