Kilio Chetu2015
Member
- May 24, 2013
- 26
- 6
jamani wenyeji hata kunikaribisha mgeni hakuna !!loh hiyo c tabia njema.
.,ukianza mapema kukosoa hutafika mbali.,by tha way KARIBU
why kaka ctofka mbali tena kwani kunalipi tena hum ndani? Au hii jf ni ya watu fulani tu?
Unaju barach pwm umenipa moyo,ok asante nahtaj sapoti zenu.