R ramer New Member Joined Feb 14, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Feb 28, 2012 #1 laptop yng HP ProBook 4411s haisom cd wala haionyesh kama kuna cd imewekwa naomben msaada
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,734 Reaction score 1,010 Feb 28, 2012 #2 Nenda maduka ya Computer nunua Lens Cleaner....fuata maelekezo jinsi ya kutumia, ukimaliza kama bado ina shida nenda kwa fundi uwekewe Lens nyingine...haiwezekani..nunua CD-ROM Drive mpya!!
Nenda maduka ya Computer nunua Lens Cleaner....fuata maelekezo jinsi ya kutumia, ukimaliza kama bado ina shida nenda kwa fundi uwekewe Lens nyingine...haiwezekani..nunua CD-ROM Drive mpya!!