Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Mambo mgeni..??
Nzuri nikaribisheni humu jamani nimesikia kuwa kuna Ubuyu humuMambo mgeni..??
Your welcome na Mimi ndio nakupokea humu ubuyu upo wa kimbea,siasa,mapenzi na elimu so ni kuwa makini uchuje unachotakiwa chukua..
Sasa haya ndio maneno gani? Si niliambiwa kuwa humu wanapatikana watu wazima? Sasa mbona nilivyoambiwa ni tofauti, huyu si Mtoto Wa Chuo huyu?Chura ipo?
Unanionea tu,mimi ni mtu mzuri hata pm huwa siji kama akina fulani mwaya!Sasa haya ndio maneno gani? Si niliambiwa kuwa humu wanapatikana watu wazima? Sasa mbona nilivyoambiwa ni tofauti, huyu si Mtoto Wa Chuo huyu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana JF Joyce joyce
Si ulitaka ubuyu mama!!Sasa haya ndio maneno gani? Si niliambiwa kuwa humu wanapatikana watu wazima? Sasa mbona nilivyoambiwa ni tofauti, huyu si Mtoto Wa Chuo huyu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa Mkuu, Lakini nimesikia kuwa kila mtu humu eti ni Mkuu, je hata Mimi nitakuwa Mkuu kweli?Karibu sana JF Joyce joyce
Kwani huyu Joyce joyce ni "Ke" mpaka umwite mama KENZY ???Si ulitaka ubuyu mama!!
Nimesha kutahadharisha fata muongozo wangu utaepuka mengi..
Sawa Lakini nasikia kuwa dar kuna sherehe ya kuikaribisha corona rasmi je hilo ni kweli au ni maneno tu Ya watu ?Karibu sana.Mie ndio napokea wageni humu.So,kwa swali lolote kuhusu hapa Usisite hata kidogo kuuliza
huyu siyo mgeni.