hello wadau

natamani sana kuchart nanyi ila najua mmeshalala. basi kama vp tomorrow tutachart au vp wana? tupo pamoja
 
Helow wanachama wa humu ndani ya jamii mimi ni mwanachama mpya naomba munipoke
 
Mambo vp rafiki naomba 2onge baada ya kumaliza mishemishe zako mm niko zenji
 
Sawa karibu mgeni mwenzangu lete mada zilizo kali zaid ya kali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…